
Waziri wa Habari, Utaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe amefanya mazungumzo na Mwakilishi na Mchambuzi wa Sera kutoka Amnesty International, Bibi Joan Nyaki kuhusu Sekta ya Habari hususani wajibu wa vyombo vya Habari nchini kuandika na kusambaza habari zenye ukweli.




No comments