Chama cha ACT Wazalendo hatarini kufutwa
kimepewa Siku 14 kijieleze kwanini kisifutiwe uanachama wake wa kudumu kutokana na kitendo chake cha kuendana kinyume na matakwa ya sheria ya usajili wa vyama vya siasa nchini.
Miongoni mwa mambo yanayokiweka hatarini chama hicho ni pamoja na kushindwa kuwasilisha kwa msajili wa vyama vya siasa hesabu zilizokaguliwa za chama hicho za mwaka 2014 sambamba na kitendo cha uvunjifu wa amani wa wanachama na viongozi wa chama hicho kukihusisha na masuala ya imani ya dini ya kiislam tofauti na taratibu na sheria za nchi.
Barua kamili inaeleza;
No comments